picha ya maudhui

Mafumbo ya Wiki

Maelezo Kuhusu KRA

Iliyotangulia: Kubadilisha Sarafu – 2 Inayofuata: Nambari Mfululizo – 2

Nambari Mfululizo - 1

Nambari kuanzia 1 hadi 10 zimewekwa katika michoro hii miwili. Katika mchoro upande wa kushoto, visanduku vyenye nambari 2 na 3 vinashiriki upande, na visanduku vyenye nambari 9 na 10 vinagusa kwa mlalo. Katika mchoro upande wa kulia, hakuna nambari mbili mfululizo zinazoshiriki upande au kugusa kwa mlalo.

CHANGAMOTO

Weka nambari kuanzia 1 hadi 9 kwenye mchoro huu ili visanduku vya nambari zinazofuatana visishiriki upande au mguso kwa mlalo.

MLIPUKO

Tengeneza mafumbo haya kwa ajili ya marafiki zako.